SpringSoko News

Tunatumia 'cookies' kuboresha uzoefu wako katika kutumia mfumo wa SpringSoko. Kwa kuendelea kutembelea mfumo huu, unakubaliana na matumizi yetu ya 'cookies'.
NUNUA
NA POKEA POPOTE
Bidhaa za Sanaa na Uchongaji
zinazonunuliwa kwenye
mfumo wa SpringSoko,
zitawasilishwa mlangoni kwako
popote, Tanzania na Duniani!

Usafirishaji na Ufikishaji wa Uhakika!
Tuna washirika mahususi wanaowezesha usafirishaji na ufikishaji wa uhakika kabisa wa bidhaa zilizonunuliwa kwenye mfumo. Mfumo unawezesha ufuatiliaji wa bidhaa wakati wa kusafirisha mpaka zinapofikishwa.